Pro Pesa

Hii kampuni ya utoaji mikopo inayolenga kusaidia wafanyabiashara wadogo na wakubwa pia inatoa mikopo kwa waajiriwa wa serikali na kampuni binafsi.
>Mkopo hutolewa kwa njia ya maombi ya mtandaoni kupitia simu janja za android/iphone na pesa za kielektroniki huwekwa kwenye pochi ya waombaji kama vile tigo-pesa, m-Pesa, airtel-money, halo-pesa au akaunti za kibenki
>Kupitia tovoti hii tunatoa mkopo wa  kiasi cha Tsh. 10,000 (Elfu kumi) Hadi Tsh 5,000,000(Million tano) kwa mtu yoyote mwenye kuhitaji mkopo
MKOPO RAHISI NA HARAKA ZAIDI
Kwa Masharti Rahisi
OMBA MKOPO